2 Chronicles 29:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnamo mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wake, mfalme Hezekia aliifungua tena milango ya hekalu, akaitengeneza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wake, alifungua milango ya Hekalu la Mwenyezi Mungu, na kuikarabati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye, katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, katika mwezi wa kwanza, aliifungua milango ya nyumba ya Bwana, akaitengeneza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnamo mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wake, mfalme Hezekia aliifungua tena milango ya hekalu, akaitengeneza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa kutawala kwake alifungua milango ya Hekalu la BWANA, na kuikarabati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wa alifungua milango ya Hekalu la bwana, na kuikarabati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, katika mwezi wa kwanza, aliifungua milango ya nyumba ya BWANA, akaitengeneza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnamo mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wake, mfalme Hezekia aliifungua tena milango ya hekalu, akaitengeneza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake katika mwezi wa kwanza akaifungua milango ya Nyumba ya Bwana, akaitengeneza vema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye, katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, katika mwezi wa kwanza, aliifungua milango ya nyumba ya BWANA, akaitengeneza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwezi wa kwanza wa mwaka wa kwanza wa utawala wake, mufalme Hezekia akafungua tena milango ya hekalu, akaitengeneza.