2 Chronicles 29:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matoleo matakatifu yalikuwa mafahali 600 na kondoo 3,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanyama waliowekwa wakfu kwa sadaka ya kuteketezwa walikuwa mafahali mia sita, pamoja na kondoo na mbuzi elfu tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vitu vitakatifu vilikuwa ng'ombe mia sita, na kondoo elfu tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matoleo matakatifu yalikuwa mafahali 600 na kondoo 3,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanyama waliowekwa wakfu kwa sadaka ya kuteketezwa walikuwa mafahali 600, pamoja na kondoo na mbuzi 3,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanyama waliowekwa wakfu kwa sadaka ya kuteketezwa walikuwa mafahali 600, pamoja na kondoo na mbuzi 3,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vitu vitakatifu vilikuwa ng'ombe mia sita, na kondoo elfu tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matoleo matakatifu yalikuwa mafahali 600 na kondoo 3,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena za matambiko mengine wakatolewa ng'ombe 600 na kondoo na mbuzi 3000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vitu vitakatifu vilikuwa ng’ombe mia sita, na kondoo elfu tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matoleo matakatifu yalikuwa ngombe dume mia sita na kondoo elfu tatu.