2 Chronicles 29:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbali na wingi wa sadaka za kuteketeza, kulikuwako pia mafuta ya sadaka ya amani, hata kulikuwapo sadaka ya kinywaji kwa sadaka za kuteketeza. Hivyo basi, huduma za ibada zikaanzishwa tena hekaluni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na sadaka nyingi za kuteketezwa, pamoja na mafuta ya wanyama ya sadaka za amani na sadaka za kinywaji ambazo ziliambatana na sadaka za kuteketezwa. Kwa hiyo huduma ya Hekalu la Mwenyezi Mungu ikarudishwa kwa upya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tena sadaka za kuteketezwa nazo zilikuwa nyingi, pamoja na mafuta ya sadaka za amani, na sadaka za kinywaji kwa kila sadaka ya kuteketezwa. Hivyo ikatengezeka huduma ya nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbali na wingi wa sadaka za kuteketeza, kulikuwako pia mafuta ya sadaka ya amani, hata kulikuwapo sadaka ya kinywaji kwa sadaka za kuteketeza. Hivyo basi, huduma za ibada zikaanzishwa tena hekaluni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na sadaka nyingi za kuteketezwa, pamoja na mafuta ya wanyama ya sadaka za amani na sadaka za kinywaji ambazo ziliambatana na sadaka za kuteketezwa. Kwa hiyo huduma ya Hekalu la BWANA ikarudishwa kwa upya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na sadaka nyingi za kuteketezwa, pamoja na mafuta ya wanyama ya sadaka za amani na sadaka za kinywaji ambazo ziliambatana na sadaka za kuteketezwa. Kwa hiyo huduma ya Hekalu la bwana ikarudishwa kwa upya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tena sadaka za kuteketezwa nazo zilikuwa nyingi, pamoja na mafuta ya sadaka za amani, na sadaka za kinywaji kwa kila sadaka ya kuteketezwa. Hivyo huduma ya nyumba ya BWANA ikarejezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbali na wingi wa sadaka za kuteketeza, kulikuwako pia mafuta ya sadaka ya amani, hata kulikuwapo sadaka ya kinywaji kwa sadaka za kuteketeza. Hivyo basi, huduma za ibada zikaanzishwa tena hekaluni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ng'ombe wa kuteketezwa nzima walikuwa wengi, vilevile vipande vyenye mafuta ya ng'ombe za tambiko za shukurani na vinywaji vya tambiko vilivyopasa kila ng'ombe ya tambiko. Ndivyo, utumishi wa Nyumbani mwa Bwana ulivyotengenezwa tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tena sadaka za kuteketezwa nazo zilikuwa nyingi, pamoja na mafuta ya sadaka za amani, na sadaka za kinywaji kwa kila sadaka ya kuteketezwa. Hivyo ikatengezeka huduma ya nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbali na wingi wa sadaka za kuteketeza, kulikuwa vilevile mafuta ya sadaka ya amani, hata kulikuwa sadaka ya kinywaji kwa ajili ya kila sadaka za kuteketeza. Hivyo basi, kazi za ibada zikaanzishwa tena katika hekalu.