2 Chronicles 29:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaingiza makuhani na Walawi, kisha akawakusanya uani upande wa mashariki,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaingiza makuhani na Walawi ndani na kuwakutanisha katika uwanja upande wa mashariki
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaingiza makuhani na Walawi, akawakusanya uwandani upande wa mashariki,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaingiza makuhani na Walawi, kisha akawakusanya uani upande wa mashariki,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaingiza makuhani na Walawi ndani na kuwakutanisha katika uwanja upande wa mashariki
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaingiza makuhani na Walawi ndani na kuwakutanisha katika uwanja upande wa mashariki
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaingiza makuhani na Walawi, akawakusanya uwanjani upande wa mashariki,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaingiza makuhani na Walawi, kisha akawakusanya uani upande wa mashariki,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaleta watambikaji na Walawi, akawakusanya uwanjani upande wa maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaingiza makuhani na Walawi, akawakusanya uwandani upande wa mashariki,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawaingiza makuhani na Walawi, kisha akawakusanya katika kiwanja upande wa mashariki,