2 Chronicles 29:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akawaambia, “Nisikieni enyi Walawi! Jitakaseni na itakaseni nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu. Toeni uchafu wote uliomo patakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kusema: “Nisikilizeni mimi, enyi Walawi! Jitakaseni nafsi zenu sasa, mkalitakase Hekalu la Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zenu. Ondoeni uchafu wote kutoka mahali patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akawaambia, Nisikieni, enyi Walawi; jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya Bwana, Mungu wa baba zenu, mkautoe uchafu katika patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akawaambia, “Nisikieni enyi Walawi! Jitakaseni na itakaseni nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu. Toeni uchafu wote uliomo patakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kusema: “Nisikilizeni mimi, enyi Walawi! Jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zenu. Ondoeni uchafu wote kutoka katika mahali patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kusema: “Nisikilizeni mimi, enyi Walawi! Jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya bwana, Mungu wa baba zenu. Ondoeni uchafu wote kutoka mahali patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akawaambia, Nisikieni, enyi Walawi; jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zenu, mkautoe uchafu katika patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akawaambia, “Nisikieni enyi Walawi! Jitakaseni na itakaseni nyumba ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu. Toeni uchafu wote uliomo patakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Nisikieni, ninyi Walawi! Sasa jieueni, mpate kuieua nayo Nyumba ya Bwana Mungu wa baba zenu na kuutoa uchafu hapa Patakatifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akawaambia, Nisikieni, enyi Walawi; jitakaseni nafsi zenu sasa, mkaitakase na nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zenu, mkautoe uchafu katika patakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawaambia: “Munisikilize, enyi Walawi! Mujitakase na mutakase nyumba ya Yawe, Mungu wa babu zenu. Mutoshe uchafu wote unaokuwa katika Pahali Patakatifu.