2 Chronicles 29:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba zetu waliuawa vitani, na wana wetu na binti zetu na wake zetu ni mateka kwa sababu hiihii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo sababu baba zetu wameanguka kwa upanga na ndiyo sababu wana wetu wa kiume na wa kike, na pia wake zetu wamekuwa mateka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa, tazama, baba zetu wameangamia kwa upanga, na wana wetu, na binti zetu, na wake zetu wametekwa kwa ajili ya hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba zetu waliuawa vitani, na wana wetu na binti zetu na wake zetu ni mateka kwa sababu hiihii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo sababu baba zetu wameanguka kwa upanga na ndiyo sababu wana wetu na binti zetu, pia wake zetu wamekuwa mateka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo sababu baba zetu wameanguka kwa upanga na ndiyo sababu wana wetu na binti zetu, pia wake zetu wamekuwa mateka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa, tazama, baba zetu wameangamia kwa upanga, na wana wetu, na binti zetu, na wake zetu wametekwa kwa ajili ya hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba zetu waliuawa vitani, na wana wetu na binti zetu na wake zetu ni mateka kwa sababu hiihii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni! Baba zetu waliuawa kwa panga, nao wana wetu wa kiume na wa kike pamoja na wanawake wetu wakatekwa kwa sababu hiyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa, tazama, baba zetu wameangamia kwa upanga, na wana wetu, na binti zetu, na wake zetu wametekwa kwa ajili ya hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba zetu waliuawa katika vita, na wana wetu na wabinti zetu na wake zetu ni wafungwa kwa sababu hii.