2 Chronicles 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Urefu wa mabawa mawili ya viumbe hawa ni mita 4.5. Yalisimama sambamba, nyuso za viumbe wenye mabawa zikielekea ukumbini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabawa ya makerubi hawa yalitanda dhiraa ishirini. Walisimama kwa miguu yao, nyuso zao zikielekea ukumbi mkubwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakaenea mabawa ya makerubi hayo mikono ishirini; yakasimama juu ya miguu yao, na nyuso zao ziliielekea nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Urefu wa mabawa mawili ya viumbe hawa ni mita 4.5. Yalisimama sambamba, nyuso za viumbe wenye mabawa zikielekea ukumbini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabawa ya makerubi hawa yalitanda dhiraa ishirini. Walisimama kwa miguu yao, nyuso zao zikielekea ukumbi mkubwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabawa ya makerubi hawa yalitanda dhiraa ishirini. Walisimama kwa miguu yao, nyuso zao zikielekea ukumbi mkubwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakaenea mabawa ya makerubi hayo dhiraa ishirini; yakasimama juu ya miguu yao, na nyuso zao ziliielekea nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Urefu wa mabawa mawili ya viumbe hawa ni mita 4.5. Yalisimama sambamba, nyuso za viumbe wenye mabawa zikielekea ukumbini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo, haya mabawa ya Makerubi yalivyokuwa yamekunjuka, yalikuwa yenye mikono 20, nayo yalisimama kwa miguu yao, nazo nyuso zao zilielekea nyumbani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakaenea mabawa ya makerubi hayo mikono ishirini; yakasimama juu ya miguu yao, na nyuso zao ziliielekea nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Urefu wa mabawa mawili ya makerubi hawa ni metre ine na nusu. Yalisimama yakielekana, nyuso za makerubi zikielekea kwenye baraza.