2 Chronicles 3:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza pazia kwa kitambaa cha kitani safi, cha rangi ya samawati, ya zambarau na nyekundu. Alilinakshi kwa michoro ya viumbe wenye mabawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na za kitani safi, na kutarizi makerubi juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akalifanya pazia la samawi na urujuani na nyekundu, na kitani safi, akaifanyizia makerubi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza pazia kwa kitambaa cha kitani safi, cha rangi ya samawati, ya zambarau na nyekundu. Alilinakshi kwa michoro ya viumbe wenye mabawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu na za kitani safi na kutarizi makerubi juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na za kitani safi, na kutarizi makerubi juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akalifanya pazia la samawati na urujuani na nyekundu, na kitani safi, akaitengenezea makerubi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza pazia kwa kitambaa cha kitani safi, cha rangi ya samawati, ya zambarau na nyekundu. Alilinakshi kwa michoro ya viumbe wenye mabawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatungika pazia la nguo za kifalme nyeusi na nyekundu na za rangi na za bafta, namo akashonea mifano ya Makerubi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akalifanya pazia la samawi na urujuani na nyekundu, na kitani safi, akaifanyizia makerubi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatengeneza pazia kwa kitambaa cha kitani safi, cha rangi ya samawi, ya rangi nyekundu-nyeusi na nyekundu. Akalichora kwa michoro ya makerubi.