2 Chronicles 3:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitengeneza namna ya mapambo ya mikufu juu ya vichwa vya nguzo hizo, akachonga pia michoro ya makomamaga 100 juu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza minyororo iliyosokotwa, na kuiweka juu ya zile nguzo. Pia akatengeneza makomamanga mia moja, na kuyaunganisha kwenye minyororo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya minyororo ndani ya chumba cha ndani, akaiweka juu ya vichwa vya nguzo; akafanya makomamanga mia, akayaweka juu ya hiyo minyororo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitengeneza namna ya mapambo ya mikufu juu ya vichwa vya nguzo hizo, akachonga pia michoro ya makomamaga 100 juu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatengeneza minyororo iliyosokotwa na kuiweka juu ya zile nguzo. Pia akatengeneza makomamanga 100 na kuyashikamanisha kwenye minyororo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatengeneza minyororo iliyosokotwa, na kuiweka juu ya zile nguzo. Pia akatengeneza makomamanga 100, na kuyashikamanisha kwenye minyororo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya minyororo ndani ya chumba cha ndani, akaiweka juu ya vichwa vya nguzo; akafanya makomamanga mia moja, akayaweka juu ya hiyo minyororo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitengeneza namna ya mapambo ya mikufu juu ya vichwa vya nguzo hizo, akachonga pia michoro ya makomamaga 100 juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatengeneza hata mikufu kuwa ukingo wa chini wa hivyo vichwa, akaitia juu ya hizo nguzo; kisha akatengeneza komamanga 100, akaziangika pale penye mikufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya minyororo ndani ya chumba cha ndani, akaiweka juu ya vichwa vya nguzo; akafanya makomamanga mia, akayaweka juu ya hiyo minyororo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitengeneza minyororo kwa mufano wa mikufu, akaiweka juu ya vichwa vya nguzo hizo, kisha akatengeneza mifano ya matunda aina ya makomamanga mia moja, akayaweka juu ya minyororo hiyo.