2 Chronicles 3:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Solomoni alianza ujenzi wa hekalu mnamo mwezi wa pili wa mwaka wa nne wa utawala wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alianza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa utawala wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaanza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa kutawala kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Solomoni alianza ujenzi wa hekalu mnamo mwezi wa pili wa mwaka wa nne wa utawala wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alianza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa kutawala kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alianza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa utawala wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaanza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa kutawala kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Solomoni alianza ujenzi wa hekalu mnamo mwezi wa pili wa mwaka wa nne wa utawala wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaanza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili wa mwaka wa nne wa ufalme wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaanza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa kutawala kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Solomono akaanza kujenga hekalu katika mwezi wa pili wa mwaka wa ine wa utawala wake.