2 Chronicles 3:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Solomoni aliipamba nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa mawe mazuri ya thamani. Dhahabu aliyotumia ilitoka nchi ya Parvaimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alilipamba Hekalu kwa vito vya thamani. Hiyo dhahabu aliyotumia ilikuwa dhahabu ya Parvaimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaipamba nyumba kwa vito iwe na uzuri; nayo dhahabu ilikuwa dhahabu ya Parvaimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Solomoni aliipamba nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa mawe mazuri ya thamani. Dhahabu aliyotumia ilitoka nchi ya Parvaimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alilipamba Hekalu kwa mawe ya thamani. Hiyo dhahabu aliyotumia ilikuwa dhahabu ya Parvaimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alilipamba Hekalu kwa vito vya thamani. Hiyo dhahabu aliyotumia ilikuwa dhahabu ya Parvaimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaipamba nyumba kwa vito iwe na uzuri; nayo dhahabu ilikuwa dhahabu ya Parvaimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Solomoni aliipamba nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa mawe mazuri ya thamani. Dhahabu aliyotumia ilitoka nchi ya Parvaimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaipamba hiyo nyumba kwa vito vyenye kima, ipate utukufu; zile dhahabu zilikuwa dhahabu za Parawaimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaipamba nyumba kwa vito iwe na uzuri; nayo dhahabu ilikuwa dhahabu ya Parvaimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Solomono aliipamba nyumba ya Yawe kwa mawe mazuri ya bei kali. Zahabu aliyotumia ilitoka katika inchi ya Parawaimu.