2 Chronicles 3:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliifunika nyumba yote kwa dhahabu: Boriti zake, vizingiti vyake, kuta zake na milango yake. Kutani palichongwa viumbe wenye mabawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akazifunika boriti za dari, miimo na vizingiti vya milango, kuta na milango ya Hekalu kwa dhahabu, naye akatia nakshi ya makerubi kwenye kuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, akaifunikiza kwa dhahabu nyumba, na boriti, na vizingiti, na kuta zake, na milango yake; akachora makerubi kutani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliifunika nyumba yote kwa dhahabu: boriti zake, vizingiti vyake, kuta zake na milango yake. Kutani palichongwa viumbe wenye mabawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akazifunika boriti za dari, miimo na vizingiti vya milango, kuta na milango ya Hekalu kwa dhahabu, naye akatia nakshi ya makerubi kwenye kuta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akazifunika boriti za dari, miimo na vizingiti vya milango, kuta na milango ya Hekalu kwa dhahabu, naye akatia nakshi ya makerubi kwenye kuta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, akaifunikiza kwa dhahabu nyumba, na boriti, na vizingiti, na kuta zake, na milango yake; akachora makerubi kutani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliifunika nyumba yote kwa dhahabu: Boriti zake, vizingiti vyake, kuta zake na milango yake. Kutani palichongwa viumbe wenye mabawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Boriti na vizingiti na kuta zake na milango yake ya humu nyumbani akaivika mabati ya dhahabu, napo kutani akachora Makerubi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, akaifunikiza kwa dhahabu nyumba, na boriti, na vizingiti, na kuta zake, na milango yake; akachora makerubi kutani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipakaa nyumba yote zahabu; nguzo zake, vizingiti vyake, kuta zake na milango yake. Vilevile wakachora kwenye kuta sanamu za makerubi.