2 Chronicles 3:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Misumari aliyoitumia ilikuwa ya uzani wa gramu 570 za dhahabu. Pia alivifunika vyumba vyote vya ghorofani kwa dhahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Misumari ya dhahabu ilikuwa na uzito wa shekeli hamsini. Alivifunika pia vyumba vya juu kwa dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na uzani wa misumari ulikuwa shekeli hamsini za dhahabu. Akazifunikiza orofa zake za juu kwa dhahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Misumari aliyoitumia ilikuwa ya uzani wa gramu 570 za dhahabu. Pia alivifunika vyumba vyote vya ghorofani kwa dhahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Misumari ya dhahabu ilikuwa na uzito wa shekeli hamsini. Alivifunika pia vyumba vya juu kwa dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Misumari ya dhahabu ilikuwa na uzito wa shekeli hamsini. Alivifunika pia vyumba vya juu kwa dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na uzani wa misumari ulikuwa shekeli hamsini za dhahabu. Alivifunika vyumba vyake ghorofani kwa dhahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Misumari aliyoitumia ilikuwa ya uzani wa gramu 570 za dhahabu. Pia alivifunika vyumba vyote vya ghorofani kwa dhahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Misumari ilipopimiwa uzito wa dhahabu yao, ukawa sekeli za dhahabu 50, ndio ratli mbili. Navyo vyumba vya juu akavivika dhahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na uzani wa misumari ulikuwa shekeli hamsini za dhahabu. Akazifunikiza orofa zake za juu kwa dhahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Misumari aliyoitumia ilikuwa ya uzito wa grama mia tano na makumi saba za zahabu. Vilevile alipakaa vyumba vyote vya gorofi kwa zahabu.