2 Chronicles 30:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, matarishi hao wakaenda toka mji mmoja hadi mwingine kote nchini Efraimu na Manase, wakafika hata Zebuluni. Lakini watu waliwacheka na kuwadhihaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matarishi wakaenda mji hadi mji katika Efraimu na Manase, wakafika Zabuloni, lakini watu wakawadharau na kuwadhihaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi matarishi wakapita mji kwa mji kati ya nchi ya Efraimu na Manase, hata kufika Zabuloni; lakini waliwacheka-cheka, na kuwadhihaki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, matarishi hao wakaenda toka mji mmoja hadi mwingine kote nchini Efraimu na Manase, wakafika hata Zebuluni. Lakini watu waliwacheka na kuwadhihaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matarishi wakaenda mji hadi mji katika Efraimu na Manase, wakafika mpaka Zabuloni, lakini watu wakawadharau na kuwadhihaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matarishi wakaenda mji hadi mji katika Efraimu na Manase, wakafika mpaka Zabuloni, lakini watu wakawadharau na kuwadhihaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi matarishi wakapita mji kwa mji kati ya nchi ya Efraimu na Manase, hata kufika Zabuloni; lakini waliwacheka na kuwadhihaki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, matarishi hao wakaenda toka mji mmoja hadi mwingine kote nchini Efraimu na Manase, wakafika hata Zebuluni. Lakini watu waliwacheka na kuwadhihaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, hao wajumbe wapigao mbio wakaenda kuingia mji kwa mji katika nchi ya Efuraimu na ya Manase hata Zebuluni, lakini watu wakawacheka na kuwafyoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi matarishi wakapita mji kwa mji kati ya nchi ya Efraimu na Manase, hata kufika Zabuloni; lakini waliwacheka-cheka, na kuwadhihaki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wajumbe wale wakaenda toka muji mumoja mpaka mwingine katika inchi yote ya Efuraimu na Manase, wakafika hata katika inchi ya Zebuluni. Lakini watu waliwacheka na kuwazarau.