2 Chronicles 30:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walianza kazi, wakaziondoa madhabahu zote zilizokuwa Yerusalemu, na nyingine zote zilizotumiwa kufukizia ubani, wakazibeba na kuzitupa katika Bonde la Kidroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakajitia kazini kuyaondoa yale madhabahu yaliyokuwa huko Yerusalemu, wakayaondoa pia yale madhabahu ya kufukizia uvumba kwa miungu na kuyatupa Bonde la Kidroni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakainuka, wakaziondoa madhabahu zilizokuwamo Yerusalemu, nazo madhabahu za kufukizia wakaziondoa, wakazitupa katika kijito Kidroni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walianza kazi, wakaziondoa madhabahu zote zilizokuwa Yerusalemu, na nyingine zote zilizotumiwa kufukizia ubani, wakazibeba na kuzitupa katika Bonde la Kidroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakajitia kazini kuyaondoa yale madhabahu yaliyokuwa huko Yerusalemu, wakaziondoa pia zile madhabahu za kufukizia uvumba kwa miungu na kuzitupa katika Bonde la Kidroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakajitia kazini kuyaondoa yale madhabahu yaliyokuwa huko Yerusalemu, wakayaondoa pia yale madhabahu ya kufukizia uvumba kwa miungu na kuyatupa Bonde la Kidroni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakainuka, wakaziondoa madhabahu zilizokuwamo Yerusalemu, nazo madhabahu za kufukizia wakaziondoa, wakazitupa katika kijito Kidroni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walianza kazi, wakaziondoa madhabahu zote zilizokuwa Yerusalemu, na nyingine zote zilizotumiwa kufukizia ubani, wakazibeba na kuzitupa katika Bonde la Kidroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakainuka, wakapaondoa pote pa kutambikia palipokuwamo Yerusalemu, navyo vivukizo vyote wakaviondoa, wakavitupa katika mto wa Kidoroni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakainuka, wakaziondoa madhabahu zilizokuwamo Yerusalemu, nazo madhabahu za kufukizia wakaziondoa, wakazitupa katika kijito Kidroni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaanza kazi, wakaondoa mazabahu zote zilizokuwa Yerusalema, na zingine zote zilizotumiwa kwa kufukizia ubani, wakazibeba na kuzitupa katika Bonde la Kidroni.