2 Chronicles 30:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
atakayekuomba kwa moyo wake wote wewe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake, hata ingawa si msafi kulingana na sheria za utakaso.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye anauelekeza moyo wake kumtafuta Mungu, Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zake, hata kama yeye si safi kulingana na sheria za mahali patakatifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
aukazaye moyo wake kumtafuta Mungu, Bwana, Mungu wa babaze, hata ikiwa si kwa utakaso wa patakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
atakayekuomba kwa moyo wake wote wewe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake, hata ingawa si msafi kulingana na sheria za utakaso.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye anauelekeza moyo wake kumtafuta Mungu, BWANA, Mungu wa baba zake, hata kama yeye si safi kulingana na sheria za mahali patakatifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye anauelekeza moyo wake kumtafuta Mungu, bwana, Mungu wa baba zake, hata kama yeye si safi kulingana na sheria za mahali patakatifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
aukazaye moyo wake kumtafuta Mungu, BWANA, Mungu wa babaze, hata ikiwa si kwa utakaso wa patakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
atakayekuomba kwa moyo wake wote wewe Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zake, hata ingawa si msafi kulingana na sheria za utakaso.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kila mtu aliyeuelekeza moyo wake kumtafuta Mungu Bwana aliye Mungu wa baba zake, ingawa hakuupata utakaso upapasao Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
aukazaye moyo wake kumtafuta Mungu, BWANA, Mungu wa babaze, hata ikiwa si kwa utakaso wa patakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
atakayekuomba kwa moyo wake wote wewe Yawe, Mungu wa babu zake, hata ingawa yule mutu si musafi kulingana na sheria za utakaso.”