2 Chronicles 30:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alikubali ombi la Hezekia, akawasamehe watu hao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Mwenyezi Mungu akamsikia Hezekia akawaponya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamsikia Hezekia, akawaponya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alikubali ombi la Hezekia, akawasamehe watu hao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye BWANA akamsikia Hezekia akawaponya watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye bwana akamsikia Hezekia akawaponya watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akamsikia Hezekia, akawaponya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alikubali ombi la Hezekia, akawasamehe watu hao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamsikia Hizikia, akawaponya hao watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamsikia Hezekia, akawaponya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akakubali ombi la Hezekia, akawasamehe watu wale.