2 Chronicles 30:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiwe kama babu zenu na ndugu zenu ambao hawakuwa waaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, ambaye kama mnavyoona aliwaadhibu vikali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiwe kama baba zenu na ndugu zenu, ambao hawakuwa waaminifu kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zao, hivyo akawafanya kitu cha kutisha, kama mnavyoona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msiwe kama baba zenu, na kama ndugu zenu, waliomwasi Bwana, Mungu wa baba zao, hata akawatoa kuwa ushangao, kama mwonavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiwe kama babu zenu na ndugu zenu ambao hawakuwa waaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, ambaye kama mnavyoona aliwaadhibu vikali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiwe kama baba zenu na ndugu zenu, ambao hawakuwa waaminifu kwa BWANA, Mungu wa baba zao, hivyo akawafanya kitu cha kushangaza kama mnavyoona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiwe kama baba zenu na ndugu zenu, ambao hawakuwa waaminifu kwa bwana, Mungu wa baba zao, hivyo akawafanya kitu cha kushangaza kama mnavyoona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msiwe kama baba zenu, na kama ndugu zenu, waliomwasi BWANA, Mungu wa baba zao, hata akawatoa kuwa ukiwa, kama mwonavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiwe kama babu zenu na ndugu zenu ambao hawakuwa waaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zao, ambaye kama mnavyoona aliwaadhibu vikali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiwe kama baba zenu na ndugu zenu walioyavunja maagano ya Bwana Mungu wa baba zao, akawatoa, waangamizwe, kama mnavyoona nanyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msiwe kama baba zenu, na kama ndugu zenu, waliomwasi BWANA, Mungu wa baba zao, hata akawatoa kuwa ushangao, kama mwonavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikuwe kama babu zenu na wandugu zenu ambao hawakukuwa waaminifu kwa Yawe Mungu wa babu zao, ambaye kama vile munavyoona aliwaazibu vikali.