2 Chronicles 30:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiwe wakaidi kama babu zenu, ila mtiini Mwenyezi-Mungu. Njoni katika hekalu lake ambalo amelitakasa milele, mumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ili asiwakasirikie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msiwe na shingo ngumu, kama baba zenu walivyokuwa, bali nyenyekeeni kwa Mwenyezi Mungu. Njooni mahali patakatifu, alipopatakasa milele. Mtumikieni Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nanyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiwe sasa wenye shingo ngumu kama baba zenu; lakini mjitoe kwa Bwana, mkaingie katika patakatifu pake, alipopatakasa milele, mkamtumikie Bwana, Mungu wenu, hasira yake kali iwageukie mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiwe wakaidi kama babu zenu, ila mtiini Mwenyezi-Mungu. Njoni katika hekalu lake ambalo amelitakasa milele, mumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ili asiwakasirikie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msiwe na shingo ngumu, kama baba zenu walivyokuwa, bali nyenyekeeni kwa BWANA. Njoni mahali patakatifu, alipopatakasa milele. Mtumikieni BWANA Mungu wenu, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nanyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msiwe na shingo ngumu, kama baba zenu walivyokuwa, bali nyenyekeeni kwa bwana. Njooni mahali patakatifu, alipopatakasa milele. Mtumikieni bwana Mwenyezi Mungu wenu, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nanyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiwe sasa wenye shingo ngumu kama baba zenu; lakini mjitoe kwa BWANA, mkaingie katika patakatifu pake, alipopatakasa milele, mkamtumikie BWANA, Mungu wenu, hasira yake kali iwageukie mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiwe wakaidi kama babu zenu, ila mtiini Mwenyezi-Mungu. Njoni katika hekalu lake ambalo amelitakasa milele, mumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ili asiwakasirikie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa msizishupaze kosi zenu kama baba zenu! Ila mpeni Bwana mikono mkija Patakatifu pake, alipopatakasa kuwa pake kale na kale! Kamtumikieni Bwana Mungu wenu! Ndipo, makali yake yawakayo moto yatakapoondoka kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiwe sasa wenye shingo ngumu kama baba zenu; lakini mjitoe kwa BWANA, mkaingie katika patakatifu pake, alipopatakasa milele, mkamtumikie BWANA, Mungu wenu, hasira yake kali iwageukie mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa musikuwe wenye mioyo migumu kama babu zenu lakini mumutii Yawe. Mukuje katika Pahali Patakatifu pake Yerusalema, ambako ametakasa milele, mumwabudu Yawe, Mungu wenu, kusudi asiwakasirikie.