2 Chronicles 31:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha mfalme Hezekia akawaamuru watengeneze ghala katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Wakatengeneza;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hezekia akatoa agizo la kutengeneza vyumba vya ghala katika Hekalu la Mwenyezi Mungu nalo hili likafanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Hezekia akaamuru kutengeneza vyumba nyumbani mwa Bwana; wakavitengeneza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha mfalme Hezekia akawaamuru watengeneze ghala katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Wakatengeneza;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hezekia akatoa agizo la kutengeneza vyumba vya ghala katika Hekalu la BWANA nalo hili likafanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hezekia akatoa agizo la kutengeneza vyumba vya ghala katika Hekalu la bwana nalo hili likafanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Hezekia akaamuru kutengeneza vyumba nyumbani mwa BWANA; wakavitengeneza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha mfalme Hezekia akawaamuru watengeneze ghala katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Wakatengeneza;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Hizikia alipoagiza, watengeneze vyumba katika Nyumba ya Bwana: walipokwisha kuvitengeneza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Hezekia akaamuru kutengeneza vyumba nyumbani mwa BWANA; wakavitengeneza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme Hezekia akawaamuru watengeneze gala katika nyumba ya Yawe. Wakatengeneza;