2 Chronicles 31:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliandikishwa wote pamoja na watoto wao wadogo, wake zao, wana wao na binti zao kwa kuwa, kwa mujibu wa kazi zao, walihitajika kujiweka katika hali ya utakaso kila mara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani waliandikishwa pamoja na watoto wao wadogo, wake zao, watoto wao wa kiume na wa kike, jamii yote iliandikishwa kwa kufuata orodha ya vizazi vyao. Kwa kuwa walikuwa waaminifu katika kujitakasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wale waliohesabiwa kwa nasaba ya wadogo wao wote, wake zao, na wana wao, na binti zao, katika kusanyiko lote; kwani kwa vile walivyoaminiwa, wakajitakasa katika utakatifu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliandikishwa wote pamoja na watoto wao wadogo, wake zao, wana wao na binti zao kwa kuwa, kwa mujibu wa kazi zao, walihitajika kujiweka katika hali ya utakaso kila mara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani waliandikishwa pamoja na watoto wao wadogo, wake zao, watoto wao wa kiume na wa kike, jamii yote iliandikishwa kwa kufuata orodha ya vizazi vyao. Kwa kuwa walikuwa waaminifu katika kujitakasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani waliandikishwa pamoja na watoto wao wadogo, wake zao, watoto wao wa kiume na wa kike, jamii yote iliandikishwa kwa kufuata orodha ya vizazi vyao. Kwa kuwa walikuwa waaminifu katika kujitakasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wale waliohesabiwa kwa nasaba ya wadogo wao wote, wake zao, na wana wao, na binti zao, katika kusanyiko lote; kwani kwa vile walivyoaminiwa, wakajitakasa katika utakatifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliandikishwa wote pamoja na watoto wao wadogo, wake zao, wana wao na binti zao kwa kuwa, kwa mujibu wa kazi zao, walihitajika kujiweka katika hali ya utakaso kila mara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humo katika kitabu cha udugu wakaandikwa nao watoto wao wadogo wote na wake zao na wana wao wa kiume na wa kike wa mkutano wote pia, kwani kwa kuwa welekevu walijitakasa kuwa watakatifu kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wale waliohesabiwa kwa nasaba ya wadogo wao wote, wake zao, na wana wao, na binti zao, katika kusanyiko lote; kwani kwa vile walivyoaminiwa, wakajitakasa katika utakatifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waliandikishwa wote pamoja na watoto wao wadogo, wake zao, wana wao na wabinti zao kwa sababu, kwa kujitoa kwa kazi zao, walihitajika kujiweka katika hali ya utakaso kila mara.