2 Chronicles 31:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mwezi wa tatu walianza kuvipanga katika mafungu, wakamaliza mnamo mwezi wa saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwezi wa tatu wakaanza kuweka misingi ya hizo chungu, wakazimaliza katika mwezi wa saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mwezi wa tatu walianza kuvipanga katika mafungu, wakamaliza mnamo mwezi wa saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwezi wa tatu wakaanza kupanga mafungu hayo, wakayamaliza katika mwezi wa saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mwezi wa tatu walianza kuvipanga katika mafungu, wakamaliza mnamo mwezi wa saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwezi wa tatu walianza kuyaweka hayo machungu, wakayamaliza katika mwezi wa tisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwezi wa tatu wakaanza kuweka misingi ya hizo chungu, wakazimaliza katika mwezi wa saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwezi wa tatu wakaanza kuvipanga katika mafungu, wakamaliza katika mwezi wa saba.