2 Chronicles 31:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Hezekia na maofisa wake walipokuja kuyaona mafungu hayo, walimtukuza Mwenyezi-Mungu na watu wake wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hezekia na maafisa wake walipokuja na kuona yale malundo, wakamsifu Mwenyezi Mungu na kuwabariki watu wake Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata walipokuja Hezekia na wakuu, na kuziona zile chungu, wakamhimidi Bwana, na watu wake Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Hezekia na maofisa wake walipokuja kuyaona mafungu hayo, walimtukuza Mwenyezi-Mungu na watu wake wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Hezekia na maafisa wake walipokuja na kuona yale malundo, wakamsifu BWANA na kuwabariki watu wake Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Hezekia na maafisa wake walipokuja na kuona yale malundo, wakamsifu bwana na kuwabariki watu wake Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata walipokuja Hezekia na wakuu, na kuyaona yale mafungu, wakamhimidi BWANA, na watu wake Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Hezekia na maofisa wake walipokuja kuyaona mafungu hayo, walimtukuza Mwenyezi-Mungu na watu wake wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Hizikia na wakuu walipokuja kuyatazama hayo machungu, wakamtukuza Bwana nao Waisiraeli walio ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata walipokuja Hezekia na wakuu, na kuziona zile chungu, wakamhimidi BWANA, na watu wake Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Hezekia na wakubwa wake walipokuja kuangalia mafungu yale, wakamushukuru Yawe na watu wake wa Israeli.