2 Chronicles 32:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hivi ndivyo anavyosema Senakeribu mfalme wa Ashuru: Je, mnategemea nini hata mnakaa Yerusalemu, mji ambao umezingirwa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hili ndilo asemalo Senakeribu mfalme wa Ashuru: Je, mmeweka tumaini lenu wapi, hata mnaendelea kukaa katika Yerusalemu, hali mmezingirwa na jeshi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Senakeribu, mfalme wa Ashuru, asema hivi, Mwatumainia nini hata mkae mkihusuriwa katika Yerusalemu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hivi ndivyo anavyosema Senakeribu mfalme wa Ashuru: Je, mnategemea nini hata mnakaa Yerusalemu, mji ambao umezingirwa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hili ndilo Senakeribu Mfalme wa Ashuru asemalo: Je, mmetumainia nini, kwamba mnaendelea kukaa hali mmezungukwa na jeshi katika Yerusalemu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hili ndilo asemalo Senakeribu mfalme wa Ashuru: Je, mmeweka tumaini lenu wapi, hata mnaendelea kukaa katika Yerusalemu, hali mmezungukwa na jeshi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Senakeribu, mfalme wa Ashuru, asema hivi, Mwatumainia nini hata mkae mkihusuriwa katika Yerusalemu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hivi ndivyo anavyosema Senakeribu mfalme wa Ashuru: Je, mnategemea nini hata mnakaa Yerusalemu, mji ambao umezingirwa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, anavyosema Saniheribu, mfalme wa Asuri: Ninyi mnaegemea nini mkikaa ngomeni Yerusalemu na kusongwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Senakeribu, mfalme wa Ashuru, asema hivi, Mwatumainia nini hata mkae mkihusuriwa katika Yerusalemu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Hivi ndivyo Saniharibu mufalme wa Asuria anavyosema: Munategemea nini hata munakaa Yerusalema, muji ambao umezungukwa?