2 Chronicles 32:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, si kana kwamba Hezekia anawadanganya ili awafanye mfe kwa njaa au kiu anapowaambia, ‘Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawaokoa mikononi mwa mfalme wa Ashuru?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hezekia asemapo, ‘Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, atatuokoa kutoka mkononi wa mfalme wa Ashuru,’ anawapotosha ninyi, naye atawaacha mfe kwa njaa na kiu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siye Hezekia anayewashawishi, mtolewe kufa kwa njaa na kwa kiu, akisema, Bwana, Mungu wetu, atatuokoa na mkono wa mfalme wa Ashuru?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, si kana kwamba Hezekia anawadanganya ili awafanye mfe kwa njaa au kiu anapowaambia, ‘Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawaokoa mikononi mwa mfalme wa Ashuru?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hezekia asemapo, ‘BWANA Mungu wetu atatuokoa kutokana na mkono wa mfalme wa Ashuru,’ anawapotosha ninyi, akiwaacha mfe kwa njaa na kiu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hezekia asemapo, ‘ bwana Mwenyezi Mungu wetu atatuokoa kutokana na mkono wa mfalme wa Ashuru,’ anawapotosha ninyi, naye atawaacha mfe kwa njaa na kiu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siye Hezekia anayewashawishi, mtolewe kufa kwa njaa na kwa kiu, akisema, BWANA, Mungu wetu, atatuokoa na mkono wa mfalme wa Ashuru?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, si kana kwamba Hezekia anawadanganya ili awafanye mfe kwa njaa au kiu anapowaambia, ‘Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawaokoa mikononi mwa mfalme wa Ashuru?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Siye Hizikia anayewaponza na kuwatoa, mfe kwa njaa na kwa kiu akiwaambia: Bwana Mungu wetu atatuponya mkononi mwa mfalme wa Asuri?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siye Hezekia anayewashawishi, mtolewe kufa kwa njaa na kwa kiu, akisema, BWANA, Mungu wetu, atatuokoa na mkono wa mfalme wa Ashuru?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Si Hezekia ndiye anayewadanganya mukufe kwa njaa au kiu anapowaambia: ‘Yawe, Mungu wenu atawaokoa toka mikono ya mufalme wa Asuria?’