2 Chronicles 32:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, siye huyu Hezekia aliyepaharibu mahali pake pa kuabudia na madhabahu zake na kuwaamuru watu wote wa Yuda na Yerusalemu akisema: ‘Mtaabudu mbele ya madhabahu moja, na juu yake mtateketeza sadaka zenu?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, si Hezekia mwenyewe aliyeondoa mahali pa juu pa kuabudia pamoja na madhabahu zake, akiwaambia Yuda wa Yerusalemu, ‘Ni lazima mwabudu mbele ya madhabahu moja na kuteketeza dhabihu juu yake’?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Si yeye Hezekia huyo aliyeondoa mahali pake pa juu, na madhabahu zake, akawaamuru Yuda na Yerusalemu, akisema, Abuduni mbele ya madhabahu moja, na juu yake mtafukiza uvumba?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, siye huyu Hezekia aliyepaharibu mahali pake pa kuabudia na madhabahu zake na kuwaamuru watu wote wa Yuda na Yerusalemu akisema: ‘Mtaabudu mbele ya madhabahu moja, na juu yake mtateketeza sadaka zenu?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, si Hezekia mwenyewe aliyeondoa mahali pa juu pakuabudia miungu pamoja na madhabahu zake, akiwaambia Yuda wa Yerusalemu, ‘Hamna budi kuabudu mbele ya madhabahu moja na kuteketeza dhabihu juu yake’?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, si Hezekia mwenyewe aliyeondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu pamoja na madhabahu zake, akiwaambia Yuda wa Yerusalemu, ‘Ni lazima mwabudu mbele ya madhabahu moja na kuteketeza dhabihu juu yake’?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Si yeye Hezekia huyo aliyeondoa mahali pake pa juu, na madhabahu zake, akawaamuru Yuda na Yerusalemu, akisema, Abuduni mbele ya madhabahu moja, na juu yake mtafukiza uvumba?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, siye huyu Hezekia aliyepaharibu mahali pake pa kuabudia na madhabahu zake na kuwaamuru watu wote wa Yuda na Yerusalemu akisema: ‘Mtaabudu mbele ya madhabahu moja, na juu yake mtateketeza sadaka zenu?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyu Hizikia siye aliyewakataza watu kumtambikia pake pa kutambikia vilimani napo penye meza zake za kutambikia akiwaambia Wayuda na Wayerusalemu kwamba: Sharti mmwangukie mbele ya meza moja tu ya kumtambikia na kumvukizia hapo tu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Si yeye Hezekia huyo aliyeondoa mahali pake pa juu, na madhabahu zake, akawaamuru Yuda na Yerusalemu, akisema, Abuduni mbele ya madhabahu moja, na juu yake mtafukiza uvumba?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Si ni huyu Hezekia ndiye aliyeharibu pahali pake pa kuabudia na mazabahu zake na kuwaamuru watu wote wa inchi ya Yuda na Yerusalema akisema: ‘Mutaabudu mbele ya mazabahu moja, na juu yake mutateketeza sadaka zenu?’