2 Chronicles 32:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, kwani hamjui yale yote ambayo mimi na babu zangu tumewatenda watu wote wa mataifa mengine? Je, miungu ya mataifa ya nchi hizo iliweza kuzikomboa nchi zao mkononi mwangu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, hamjui yale mimi na baba zangu tuliyoyafanya kwa mataifa yote ya nchi zingine? Je, miungu ya mataifa hayo iliweza kuokoa nchi zao kutoka mkononi mwangu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Ninyi hamjui mimi na baba zangu tuliyowafanyia watu wote wa nchi? Je! Miungu ya mataifa wa nchi iliweza kuokoa kwa lo lote nchi zao na mkono wangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, kwani hamjui yale yote ambayo mimi na babu zangu tumewatenda watu wote wa mataifa mengine? Je, miungu ya mataifa ya nchi hizo iliweza kuzikomboa nchi zao mkononi mwangu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, hamjui kile mimi na baba zangu tulichokifanya kwa mataifa yote ya nchi nyingine? Je, miungu ya mataifa hayo iliweza kuokoa nchi zao kutoka mkononi mwangu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, hamjui yale mimi na baba zangu tuliyoyafanya kwa mataifa yote ya nchi zingine? Je, miungu ya mataifa hayo iliweza kuokoa nchi zao kutoka mkononi mwangu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Ninyi hamjui mimi na baba zangu tuliyowafanyia watu wote wa nchi? Je, miungu ya mataifa wa nchi iliweza kuokoa kwa lolote nchi zao na mkono wangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, kwani hamjui yale yote ambayo mimi na babu zangu tumewatenda watu wote wa mataifa mengine? Je, miungu ya mataifa ya nchi hizo iliweza kuzikomboa nchi zao mkononi mwangu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hamyajui, mimi na baba zangu tuliyoyafanyia makabila yote ya nchi hizo? Je? Miungu yao mataifa ya nchi hizi iliweza kweli kuziponya nchi zao mikononi mwangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Ninyi hamjui mimi na baba zangu tuliyowafanyia watu wote wa nchi? Je! Miungu ya mataifa wa nchi iliweza kuokoa kwa lo lote nchi zao na mkono wangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamujui yale yote ambayo mimi na babu zangu tumewatendea watu wote wa inchi zingine? Miungu ya watu wa inchi hizo iliweza kukomboa inchi zao toka mikono yangu?