2 Chronicles 32:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watumishi wa mfalme wa Ashuru walisema maneno mengine mengi mabaya dhidi ya Mwenyezi-Mungu, na dhidi ya Hezekia mtumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maafisa wa Senakeribu wakaendelea kunena dhidi ya Bwana Mwenyezi Mungu na dhidi ya mtumishi wake Hezekia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watumishi wake wakazidi kusema juu ya Bwana Mungu, na juu ya Hezekia, mtumishi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watumishi wa mfalme wa Ashuru walisema maneno mengine mengi mabaya dhidi ya Mwenyezi-Mungu, na dhidi ya Hezekia mtumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maafisa wa Senakeribu wakaendelea kunena dhidi ya BWANA aliye Mungu na dhidi ya mtumishi wake Hezekia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maafisa wa Senakeribu wakaendelea kunena dhidi ya bwana aliye Mungu na dhidi ya mtumishi wake Hezekia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watumishi wake wakazidi kusema juu ya BWANA Mungu, na juu ya Hezekia, mtumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watumishi wa mfalme wa Ashuru walisema maneno mengine mengi mabaya dhidi ya Mwenyezi-Mungu, na dhidi ya Hezekia mtumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yako na mengine, watumishi wake waliyoyasema ya kumkataa Bwana Mungu na mtumishi wake Hizikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watumishi wake wakazidi kusema juu ya BWANA Mungu, na juu ya Hezekia, mtumishi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watumishi wa mufalme wa Asuria walisema maneno mengine mengi mabaya juu ya Mungu wetu Yawe na juu ya Hezekia mutumishi wake.