2 Chronicles 32:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maofisa hao waliwaambia kwa sauti kubwa kwa lugha ya Kiebrania watu wa Yerusalemu waliokuwa ukutani, wakikusudia kuwatia hofu na woga ili wauteke mji kwa urahisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakawaita kwa Kiebrania watu wa Yerusalemu waliokuwa juu ya ukuta ili kuwatisha na kuwatia hofu ili waweze kuuteka mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawalilia kwa sauti kuu, kwa lugha ya Kiyahudi, watu wa Yerusalemu waliokuwako ukutani ili kuwaogofisha, na kuwafadhaisha; hata wapate kuutwaa mji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maofisa hao waliwaambia kwa sauti kubwa kwa lugha ya Kiebrania watu wa Yerusalemu waliokuwa ukutani, wakikusudia kuwatia hofu na woga ili wauteke mji kwa urahisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakawaita kwa Kiebrania watu wa Yerusalemu waliokuwa juu ya ukuta ili kuwatisha na kuwatia hofu ili waweze kuuteka mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakawaita kwa Kiebrania watu wa Yerusalemu waliokuwa juu ya ukuta ili kuwatisha na kuwatia hofu ili waweze kuuteka mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawalilia kwa sauti kuu, kwa lugha ya Kiyahudi, watu wa Yerusalemu waliokuwako ukutani ili kuwaogofya, na kuwafadhaisha; ndipo wapate kuutwaa mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maofisa hao waliwaambia kwa sauti kubwa kwa lugha ya Kiebrania watu wa Yerusalemu waliokuwa ukutani, wakikusudia kuwatia hofu na woga ili wauteke mji kwa urahisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wa Yerusalemu waliokuwa ukutani juu wakawaambia haya Kiyuda na kuzipaza sana sauti zao, wawaogopeshe na kuwastusha, wapate kuuteka mji huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawalilia kwa sauti kuu, kwa lugha ya Kiyahudi, watu wa Yerusalemu waliokuwako ukutani ili kuwaogofisha, na kuwafadhaisha; hata wapate kuutwaa mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wale wakawaambia kwa sauti kubwa kwa luga ya Kiebrania, watu wa Yerusalema waliokuwa juu ya ukuta, wakikusudia kuwatia hofu na woga kusudi wakamate muji.