2 Chronicles 32:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, Hezekia aliugua sana, karibu na kufa. Akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akamjibu na kumpa ishara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku hizo, Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Akamwomba Mwenyezi Mungu, ambaye alimjibu na kumpa ishara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika siku hizo Hezekia akaugua akawa katika hatari ya kufa; akamwomba Bwana; naye akasema naye, akampa ishara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, Hezekia aliugua sana, karibu na kufa. Akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akamjibu na kumpa ishara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku zile, Hezekia akaugua naye akawa katika hatari ya kufa. Akamwomba BWANA ambaye alimjibu na kumpa ishara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku hizo, Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Akamwomba bwana, ambaye alimjibu na kumpa ishara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika siku hizo Hezekia akaugua akawa katika hatari ya kufa; akamwomba BWANA; naye akasema naye, akampa ishara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, Hezekia aliugua sana, karibu na kufa. Akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akamjibu na kumpa ishara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hizo Hizikia akaugua, kufa kukamjia karibu sana; alipomlalamikia Bwana, huyu akasema naye na kumtolea kielekezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika siku hizo Hezekia akaugua akawa katika hatari ya kufa; akamwomba BWANA; naye akasema naye, akampa ishara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, Hezekia akagonjwa sana, karibu kufa. Akamwomba Yawe, naye akamujibu na kumwonyesha kitambulisho.