2 Chronicles 32:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aidha, alijijengea mabohari ya kuhifadhia mazao ya nafaka, divai na mafuta, na mazizi kwa ajili ya ng'ombe na mengine kwa ajili ya kondoo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga pia maghala ya kuhifadhi mavuno ya nafaka, divai mpya na mafuta. Akatengeneza mabanda kwa ajili ya aina mbalimbali za mifugo, na mazizi kwa ajili ya kondoo na mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ghala pia za mazao ya nafaka na mvinyo na mafuta; na malisho ya wanyama wa namna zote, na makundi mazizini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aidha, alijijengea mabohari ya kuhifadhia mazao ya nafaka, divai na mafuta, na mazizi kwa ajili ya ng'ombe na mengine kwa ajili ya kondoo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga pia maghala ya kuhifadhi mavuno ya nafaka, divai mpya na mafuta, akatengeneza mabanda kwa ajili ya aina mbalimbali za mifugo na mazizi kwa ajili ya kondoo na mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga pia maghala ya kuhifadhi mavuno ya nafaka, divai mpya na mafuta. Akatengeneza mabanda kwa ajili ya aina mbalimbali za mifugo, na mazizi kwa ajili ya kondoo na mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ghala pia za mazao ya nafaka na mvinyo na mafuta; na malisho ya mifugo ya namna zote, na makundi mazizini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aidha, alijijengea mabohari ya kuhifadhia mazao ya nafaka, divai na mafuta, na mazizi kwa ajili ya ng'ombe na mengine kwa ajili ya kondoo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hata mawekeo ya mazao ya ngano na ya mvinyo mbichi na ya mafuta, hata mabanda ya nyama wote wa kufuga na makundi mazizini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ghala pia za mazao ya nafaka na mvinyo na mafuta; na malisho ya wanyama wa namna zote, na makundi mazizini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile alijijengea nyumba za kuwekea mazao ya ngano, divai na mafuta, na mazizi kwa ajili ya ngombe na mengine kwa ajili ya kondoo.