2 Chronicles 32:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vivyo hivyo alijiongezea miji kwa ajili yake mwenyewe, makundi mengi ya ng'ombe na kondoo kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimkirimia mali nyingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga vijiji na kujipatia idadi kubwa ya kondoo na mbuzi, pamoja na ng’ombe, kwa kuwa Mungu alikuwa amempa utajiri mwingi sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena akajifanyizia miji, na mali za kondoo na ng'ombe kwa wingi; maana Mungu alimtajirisha sana sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vivyo hivyo alijiongezea miji kwa ajili yake mwenyewe, makundi mengi ya ng'ombe na kondoo kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimkirimia mali nyingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga vijiji na kujipatia idadi kubwa ya kondoo na mbuzi, pamoja na ng'ombe kwa kuwa Mungu alikuwa amempa utajiri mwingi sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga vijiji na kujipatia idadi kubwa ya kondoo na mbuzi, pamoja na ng’ombe kwa kuwa Mungu alikuwa amempa utajiri mwingi sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena akajitengenezea miji, na mali za kondoo na ng'ombe kwa wingi; maana Mungu alimtajirisha sana sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vivyo hivyo alijiongezea miji kwa ajili yake mwenyewe, makundi mengi ya ng'ombe na kondoo kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimkirimia mali nyingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajenga hata miji, kwani alikuwa na mbuzi na kondoo na ng'ombe wengi, kwani Mungu alimpa kupata mali nyingi sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena akajifanyizia miji, na mali za kondoo na ng’ombe kwa wingi; maana Mungu alimtajirisha sana sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vile vile alijiongezea miji kwa ajili yake mwenyewe, makundi mengi ya ngombe na kondoo kwa sababu Yawe alimupa mali nyingi.