2 Chronicles 32:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakawakusanya watu wengi pamoja wakazifunga chemchemi zote pamoja na kijito kilichopitia kati ya sehemu hiyo wakisema, “Ya nini kuwaachia wafalme wa Ashuru wakija wakute maji tele?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati mkubwa wa watu wakakusanyika na kuzuia chemchemi zote na vijito vilivyotiririka katika nchi yote, wakisema: “Kwa nini wafalme wa Ashuru waje na kukuta maji tele?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakakusanyika watu wengi, wakazizuia chemchemi zote, na kijito kilichopita kati ya nchi, wakisema, Kwa nini, wakifika wafalme wa Ashuru, waone maji mengi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakawakusanya watu wengi pamoja wakazifunga chemchemi zote pamoja na kijito kilichopitia kati ya sehemu hiyo wakisema, “Ya nini kuwaachia wafalme wa Ashuru wakija wakute maji tele?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umati mkubwa wa watu ukakusanyika na kuzuia chemchemi zote na vijito vilivyotiririka katika nchi yote, wakisema: “Kwa nini wafalme wa Ashuru waje na kukuta maji tele?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umati mkubwa wa watu ukakusanyika na kuzuia chemchemi zote na vijito vilivyotiririka katika nchi yote, wakisema: “Kwa nini wafalme wa Ashuru waje na kukuta maji tele?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakakusanyika watu wengi, wakazizuia chemchemi zote, na kijito kilichopita kati ya nchi, wakisema, Kwa nini, wakifika wafalme wa Ashuru, waone maji mengi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakawakusanya watu wengi pamoja wakazifunga chemchemi zote pamoja na kijito kilichopitia kati ya sehemu hiyo wakisema, “Ya nini kuwaachia wafalme wa Ashuru wakija wakute maji tele?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakakusanyika watu wengi, wakaziziba chemchemi zote, hata kijito kilichopita katikati ya nchi hiyo wakisema: Mbona tuache, wafalme wa Asuri wakifika waone maji mengi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakakusanyika watu wengi, wakazizuia chemchemi zote, na kijito kilichopita kati ya nchi, wakisema, Kwa nini, wakifika wafalme wa Ashuru, waone maji mengi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakawakusanya watu wengi pamoja, wakazifunga chemichemi zote pamoja na kijito kilichopitia kati ya sehemu hiyo wakisema: “Kwa nini kuwaachia wafalme wa Asuria, wakikuja wakute maji tele?”