2 Chronicles 33:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alimwonya Manase na watu wake, lakini hawakumsikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana akasema na Manase, na watu wake; wala wasiangalie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alimwonya Manase na watu wake, lakini hawakumsikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA akasema na Manase, na watu wake; wala wasiangalie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alimwonya Manase na watu wake, lakini hawakumsikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akasema na Manase na watu wake, lakini hawakusikiliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA akasema na Manase, na watu wake; wala wasiangalie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwonya Manase na watu wake, lakini hawakumusikia.