2 Chronicles 33:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati alipokuwa taabuni, alimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akajinyenyekesha sana mbele ya Mungu wa babu zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika dhiki yake akamsihi Mwenyezi Mungu, Mungu wake, na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata alipokuwa katika taabu, akamsihi Bwana, Mungu wake, akajinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati alipokuwa taabuni, alimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akajinyenyekesha sana mbele ya Mungu wa babu zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika dhiki yake akamsihi BWANA Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika dhiki yake akamsihi bwana Mwenyezi Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata alipokuwa katika taabu, akamsihi BWANA, Mungu wake, akajinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati alipokuwa taabuni, alimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akajinyenyekesha sana mbele ya Mungu wa babu zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliposongeka hivyo akaulalamikia uso wa Bwana Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele ya Mungu wa baba zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata alipokuwa katika taabu, akamsihi BWANA, Mungu wake, akajinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati alipokuwa katika taabu, akamwomba Yawe, Mungu wake rehema. Akajinyenyekeza sana mbele ya Mungu wa babu zake.