2 Chronicles 33:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitoa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu miungu yote ya kigeni na sanamu pamoja na madhabahu zote alizokuwa amezijenga kwenye mlima wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika Yerusalemu; alivitupa nje ya mji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaondolea mbali miungu ya kigeni pamoja na sanamu kutoka Hekalu la Mwenyezi Mungu. Pia akaondoa madhabahu zote alizojenga katika kilima kilichojengwa Hekalu, na katika Yerusalemu, akazitupa nje ya mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaiondoa miungu migeni, na hiyo sanamu nyumbani mwa Bwana, na madhabahu zote alizozijenga katika mlima wa nyumba ya Bwana, na Yerusalemu, akazitupa nje ya mji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitoa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu miungu yote ya kigeni na sanamu pamoja na madhabahu zote alizokuwa amezijenga kwenye mlima wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika Yerusalemu; alivitupa nje ya mji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaondolea mbali miungu ya kigeni na kuondoa sanamu kutoka katika Hekalu la BWANA pamoja na madhabahu zote alizozijenga katika kile kilima kilichojengwa Hekalu na katika Yerusalemu, akazitupa nje ya mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaondolea mbali miungu ya kigeni na kuondoa sanamu kutoka Hekalu la bwana pamoja na madhabahu zote alizozijenga katika kile kilima kilichojengwa Hekalu na katika Yerusalemu, akazitupa nje ya mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaiondoa miungu migeni, na hiyo sanamu nyumbani mwa BWANA, na madhabahu zote alizozijenga katika mlima wa nyumba ya BWANA, na Yerusalemu, akazitupa nje ya mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitoa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu miungu yote ya kigeni na sanamu pamoja na madhabahu zote alizokuwa amezijenga kwenye mlima wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika Yerusalemu; alivitupa nje ya mji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaiondoa miungu migeni pamoja na kile kinyago Nyumbani mwa Bwana, nazo meza zote za kutambikia, alizozijenga milimani penye Nyumba ya Bwana namo Yerusalemu, akazitupa huko nje ya mji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaiondoa miungu migeni, na hiyo sanamu nyumbani mwa BWANA, na madhabahu zote alizozijenga katika mlima wa nyumba ya BWANA, na Yerusalemu, akazitupa nje ya mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatoa katika nyumba ya Yawe miungu yote ya kigeni na sanamu pamoja na mazabahu zote alizokuwa amejenga kwenye mulima wa nyumba ya Yawe na katika Yerusalema; akavitupa inje ya muji.