2 Chronicles 33:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala Yuda; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na mbili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala Yuda; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili, alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amoni alikuwa na miaka ishirini na miwili, alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka miwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala Yuda; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amoni alikuwa mwenye miaka 22 alipoupata ufalme, akawa mfalme miaka 2 mle Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka miwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amoni alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na miwili alipoanza kutawala inchi ya Yuda, alitawala miaka miwili akiwa kule Yerusalema.