2 Chronicles 33:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye hakujinyenyekesha mbele za Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Manase, lakini yeye aliongeza kutenda makosa zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za Mwenyezi Mungu, badala yake Amoni alijiongeza hatia zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hakujinyenyekeza mbele za Bwana, kama Manase babaye alivyojinyenyekeza; lakini huyo Amoni akaongeza makosa juu ya makosa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye hakujinyenyekesha mbele za Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Manase, lakini yeye aliongeza kutenda makosa zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za BWANA, badala yake Amoni aliongeza makosa zaidi na zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za bwana, badala yake Amoni aliongeza hatia zaidi na zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hakujinyenyekeza mbele za BWANA, kama Manase babaye alivyojinyenyekeza; lakini huyo Amoni akaongeza makosa juu ya makosa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye hakujinyenyekesha mbele za Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Manase, lakini yeye aliongeza kutenda makosa zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakujinyenyekeza mbele ya Bwana, kama baba yake Manase alivyojinyenyekeza, kwani yeye Amoni alikora manza nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hakujinyenyekeza mbele za BWANA, kama Manase babaye alivyojinyenyekeza; lakini huyo Amoni akaongeza makosa juu ya makosa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye hakujinyenyekeza mbele za Yawe, kama vile Manase alivyofanya, lakini yeye aliongeza kutenda makosa zaidi.