2 Chronicles 33:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye watumishi wake walikula njama na kumuua katika ikulu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wa Amoni wakampangia njama, nao wakamuua ndani ya jumba lake la kifalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamfanyia fitina watumishi wake, wakamwua katika nyumba yake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye watumishi wake walikula njama na kumuua katika ikulu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maafisa wa Amoni wakafanya shauri pamoja wakamwua katika jumba lake la kifalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamfanyia fitina watumishi wake, wakamwua katika nyumba yake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye watumishi wake walikula njama na kumuua katika ikulu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watumishi wake walipomlia njama, wakamwua nyumbani mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamfanyia fitina watumishi wake, wakamwua katika nyumba yake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha watumishi wake walimufanyia shauri baya na kumwua katika nyumba yake ya kifalme.