2 Chronicles 33:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa milele katika Yerusalemu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akajenga madhabahu katika Hekalu la Mwenyezi Mungu ambamo Mwenyezi Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litadumu Yerusalemu milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajenga madhabahu katika nyumba ya Bwana, napo ndipo alipopanena Bwana, Katika Yerusalemu litakuwako jina langu milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa milele katika Yerusalemu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga madhabahu za Baali katika Hekalu la BWANA ambamo BWANA alikuwa amesema, “Jina langu litakaa Yerusalemu milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga madhabahu katika Hekalu la bwana ambamo bwana alikuwa amesema, “Jina langu litadumu Yerusalemu milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajenga madhabahu katika nyumba ya BWANA, pale ndipo alipopanena BWANA, Katika Yerusalemu litakuwako jina langu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa milele katika Yerusalemu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo Nyumbani mwa Bwana akajenga penginepengine pa kutambikia, naye Bwana alisema: Yerusalemu ndimo, Jina langu litakamokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajenga madhabahu katika nyumba ya BWANA, napo ndipo alipopanena BWANA, Katika Yerusalemu litakuwako jina langu milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alijenga tena mazabahu katika nyumba ya Yawe pahali ambapo Yawe alikuwa amesema: “Jina langu litaabudiwa milele katika Yerusalema.”