2 Chronicles 34:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliwapatia maseremala na wajenzi kwa ajili ya kununulia mawe yaliyochongwa, mbao za kuunganishia na mihimili ya kutumia katika kurekebisha yale majengo ambayo wafalme wa Yuda waliyaacha yakabomokabomoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawapa pia mafundi seremala na waashi fedha ili kununua mawe yaliyochongwa, mbao kwa ajili ya kufungia na boriti kwa ajili ya majengo ambayo wafalme wa Yuda walikuwa wameyaacha yakawa magofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakawapa maseremala na waashi, ili wanunue mawe ya kuchonga, na miti ya kuungia, na kuifanyiza boriti kwa nyumba zile walizoziharibu wafalme wa Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliwapatia maseremala na wajenzi kwa ajili ya kununulia mawe yaliyochongwa, mbao za kuunganishia na mihimili ya kutumia katika kurekebisha yale majengo ambayo wafalme wa Yuda waliyaacha yakabomokabomoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawapa pia mafundi seremala na waashi fedha ili kununua mawe yaliyochongwa, mbao kwa ajili ya kufungia na boriti kwa ajili ya majengo ambayo wafalme wa Yuda walikuwa wameyaacha yakawa magofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawapa pia mafundi seremala na waashi fedha ili kununua mawe yaliyochongwa, mbao kwa ajili ya kufungia na boriti kwa ajili ya majengo ambayo wafalme wa Yuda walikuwa wameyaacha yakawa magofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakawapa maseremala na waashi, ili wanunue mawe ya kuchonga, na miti ya kuungia, na kuitengeneza boriti kwa nyumba zile walizoziharibu wafalme wa Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliwapatia maseremala na wajenzi kwa ajili ya kununulia mawe yaliyochongwa, mbao za kuunganishia na mihimili ya kutumia katika kurekebisha yale majengo ambayo wafalme wa Yuda waliyaacha yakabomokabomoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakazipa maseremala na waashi za kununua mawe ya kuchonga na miti ifaayo ya kuungia na ya boriti za vipaa vya nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakawapa maseremala na waashi, ili wanunue mawe ya kuchonga, na miti ya kuungia, na kuifanyiza boriti kwa nyumba zile walizoziharibu wafalme wa Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakawapatia waseremala na wajengaji kwa ajili ya kununua mawe yaliyochongwa, mbao za kuunganishia na nguzo za kutumia kwa kutengeneza yale majengo ambayo wafalme wa inchi ya Yuda waliyobomoa.