2 Chronicles 34:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
waliwasimamia wachukuzi wa mizigo na kuwaongoza wote waliofanya kazi mbalimbali; baadhi ya Walawi walikuwa waandishi, maofisa na hata walinda mlango.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakawa wasimamizi wa vibarua na kuwaongoza wale waliofanya kila aina ya kazi. Baadhi ya Walawi walikuwa waandishi, maafisa na mabawabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena walikuwa juu ya wachukuzi wa mizigo, wakawahimiza wote waliotenda kazi ya huduma yo yote; na miongoni mwa Walawi kulikuwa na waandishi, na wasimamizi, na mabawabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
waliwasimamia wachukuzi wa mizigo na kuwaongoza wote waliofanya kazi mbalimbali; baadhi ya Walawi walikuwa waandishi, maofisa na hata walinda mlango.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakawa wasimamizi wa vibarua na kuwaongoza wale waliofanya kila aina ya kazi. Baadhi ya Walawi walikuwa, waandishi, maafisa na mabawabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakawa wasimamizi wa vibarua na kuwaongoza wale waliofanya kila aina ya kazi. Baadhi ya Walawi walikuwa waandishi, maafisa na mabawabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena walikuwa juu ya wachukuzi wa mizigo, wakawahimiza wote waliotenda kazi ya huduma yoyote; na miongoni mwa Walawi kulikuwa na waandishi, na wasimamizi, na mabawabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
waliwasimamia wachukuzi wa mizigo na kuwaongoza wote waliofanya kazi mbalimbali; baadhi ya Walawi walikuwa waandishi, maofisa na hata walinda mlango.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
walikuwa kwao wachukuzi, nao wakawasimamia wafanya kazi wote, kila mmoja katika utumishi wake, tena walikuwako Walawi walio waandishi na wenye amri na walinda malango.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena walikuwa juu ya wachukuzi wa mizigo, wakawahimiza wote waliotenda kazi ya huduma yo yote; na miongoni mwa Walawi kulikuwa na waandishi, na wasimamizi, na mabawabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
waliwasimamia wabebaji wa mizigo na kuwaongoza wote waliofanya kazi mbalimbali, na kati ya Walawi kulikuwa waandishi, wakubwa na hata walinzi wa mulango.