2 Chronicles 34:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Hilkia alimwambia Shafani mwandishi, “Nimekipata Kitabu cha Sheria katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.” Halafu Hilkia akampatia Shafani kitabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hilkia akamwambia Shafani mwandishi, “Nimekipata Kitabu cha Torati ndani ya Hekalu la Mwenyezi Mungu.” Akampa Shafani kile Kitabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu Hilkia akamwambia Shafani mwandishi, Kitabu cha torati nimekiona nyumbani mwa Bwana. Hilkia akampa Shafani kile kitabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Hilkia alimwambia Shafani mwandishi, “Nimekipata Kitabu cha Sheria katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.” Halafu Hilkia akampatia Shafani kitabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hilkia akamwambia Shafani mwandishi, “nimekiona Kitabu cha Sheria ndani ya Hekalu la BWANA.” Akampatia Shafani kile Kitabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hilkia akamwambia Shafani mwandishi, “Nimekipata Kitabu cha Torati ndani ya Hekalu la bwana.” Akampa Shafani kile Kitabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajibu Hilkia akamwambia Shafani mwandishi, Kitabu cha Torati nimekiona nyumbani mwa BWANA. Hilkia akampa Shafani kile kitabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Hilkia alimwambia Shafani mwandishi, “Nimekipata Kitabu cha Sheria katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu.” Halafu Hilkia akampatia Shafani kitabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hilkia akasema na kumwambia mwandishi Safani: Nimeona Kitabu cha Maonyo Nyumbani mwa Bwana! Kisha Hilkia akampa Safani hicho kitabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu Hilkia akamwambia Shafani mwandishi, Kitabu cha torati nimekiona nyumbani mwa BWANA. Hilkia akampa Shafani kile kitabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Hilkia akamwambia Safani mwandishi: “Nimepata kitabu cha Sheria katika nyumba ya Yawe.” Halafu Hilkia akamupatia Safani kitabu kile.