2 Chronicles 34:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Shafani akampelekea mfalme na kumpasha habari, akisema, “Yote watumishi wako waliyokabidhiwa wanayafanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Shafani akakipeleka kile Kitabu kwa mfalme na kumwambia, “Maafisa wako wanafanya kila kitu kama walivyokabidhiwa kufanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shafani akampelekea mfalme hicho kitabu, tena akampasha mfalme habari, akisema, Yote waliyokabidhiwa watumishi wako, wayafanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Shafani akampelekea mfalme na kumpasha habari, akisema, “Yote watumishi wako waliyokabidhiwa wanayafanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Shafani akakipeleka kile Kitabu kwa mfalme na kumwambia, “Maafisa wako wanafanya kila kitu kama walivyokabidhiwa kufanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Shafani akakipeleka kile Kitabu kwa mfalme na kumwambia, “Maafisa wako wanafanya kila kitu kama walivyokabidhiwa kufanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shafani akampelekea mfalme hicho kitabu, tena akampasha mfalme habari, akisema, Yote waliyokabidhiwa watumishi wako, wanayafanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Shafani akampelekea mfalme na kumpasha habari, akisema, “Yote watumishi wako waliyokabidhiwa wanayafanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Safani akakipeleka hicho kitabu kwa mfalme, tena akampasha mfalme habari kwamba: Yote yaliyowekwa mikononi mwa watumishi wako, wao wanayafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shafani akampelekea mfalme hicho kitabu, tena akampasha mfalme habari, akisema, Yote waliyokabidhiwa watumishi wako, wayafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Safani akamupelekea mufalme kitabu kile na kumupasha habari, akisema: “Yote watumishi wako waliyopewa wanayafanya.