2 Chronicles 34:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wametoa fedha zilizopatikana katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, halafu wamezikabidhi kwa wasimamizi na mafundi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamelipa fedha zilizokuwa katika Hekalu la Mwenyezi Mungu na wamewakabidhi wasimamizi na wafanyakazi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wameimimina fedha iliyoonekana nyumbani mwa Bwana, nayo wameitia mikononi mwa wasimamizi, na mikononi mwa watenda kazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wametoa fedha zilizopatikana katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, halafu wamezikabidhi kwa wasimamizi na mafundi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamelipa fedha zilizokuwa katika Hekalu la BWANA na wamewakabidhi wasimamizi na wafanyakazi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamelipa fedha zilizokuwa katika Hekalu la bwana na wamewakabidhi wasimamizi na wafanyakazi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wameimimina fedha iliyoonekana nyumbani mwa BWANA, nayo wameitia mikononi mwa wasimamizi, na mikononi mwa watenda kazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wametoa fedha zilizopatikana katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, halafu wamezikabidhi kwa wasimamizi na mafundi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Fedha zilizooneka Nyumbani mwa Bwana wamezimimina, wakawapa wasimamizi mikononi mwao namo mikononi mwao wafanya kazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wameimimina fedha iliyoonekana nyumbani mwa BWANA, nayo wameitia mikononi mwa wasimamizi, na mikononi mwa watenda kazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamekusanya feza zilizopatikana katika nyumba ya Yawe, halafu wakazitoa kwa wasimamizi na kwa wafundi.”