2 Chronicles 34:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Alifuata njia zake Daudi babu yake, na kushika amri za Mwenyezi-Mungu kwa dhati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu na kuenenda katika njia za Daudi baba yake, hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana, akaziendea njia za Daudi babaye, asigeuke kwa kuume wala kwa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Alifuata njia zake Daudi babu yake, na kushika amri za Mwenyezi-Mungu kwa dhati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA na kuenenda katika njia za Daudi baba yake, pasipo kugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya yaliyo mema machoni pa bwana na kuenenda katika njia za Daudi baba yake, hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaziendea njia za Daudi babaye, asigeuke kwa kulia wala kwa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu. Alifuata njia zake Daudi babu yake, na kushika amri za Mwenyezi-Mungu kwa dhati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana, akaendelea na kuzishika njia za baba yake Dawidi, hakuziacha na kujiendea kuumeni wala kushotoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaziendea njia za Daudi babaye, asigeuke kwa kuume wala kwa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda kwa usawa mbele ya Yawe. Alifuata njia za Daudi babu yake, na kushika amri za Yawe kwa uangalifu.