2 Chronicles 34:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi akawaambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli: Mwambie huyo aliyewatuma kwangu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaambia, “Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli: Mwambieni yule mtu aliyewatuma ninyi kwangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi; Mwambieni mtu huyo aliyewatuma kwangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi akawaambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli: mwambie huyo aliyewatuma kwangu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaambia, “Hili ndilo BWANA, Mungu wa Israeli asemalo, mwambieni mtu huyo aliyewatuma kwangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaambia, “Hivi ndivyo asemavyo Bwana, Mungu wa Israeli: Mwambieni yule mtu aliyewatuma ninyi kwangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi; Mwambieni mtu huyo aliyewatuma kwangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi akawaambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli: Mwambie huyo aliyewatuma kwangu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Ndivyo, Bwana Mungu wa Isiraeli anavyosema: Mwambieni yule mtu aliyewatuma kwangu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi; Mwambieni mtu huyo aliyewatuma kwangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi akawaambia: “Hivi ndivyo Yawe, Mungu wa Israeli anavyosema: mumwambie yule aliyewatuma kwangu,