2 Chronicles 34:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kumhusu mfalme wa Yuda, aliyewatuma kutafuta shauri la Mwenyezi-Mungu mwambie kwamba, hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli juu ya maneno uliyoyasikia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwambieni mfalme wa Yuda, ambaye amewatuma kumuuliza Mwenyezi Mungu, ‘Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, kuhusu maneno uliyoyasikia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mfalme wa Yuda, aliyewatuma kumwuliza Bwana, mtamwambia hivi, Bwana, Mungu wa Israeli, asema hivi; Kwa habari ya maneno uliyoyasikia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kumhusu mfalme wa Yuda, aliyewatuma kutafuta shauri la Mwenyezi-Mungu mwambie kwamba, hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli juu ya maneno uliyoyasikia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwambieni mfalme wa Yuda, aliyewatuma kumwuliza BWANA, Hili ndilo BWANA, Mungu wa Israeli, asemalo kuhusu maneno uliyoyasikia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwambieni mfalme wa Yuda, ambaye amewatuma kumuuliza bwana, ‘Hivi ndivyo asemavyo bwana, Mungu wa Israeli kuhusu maneno uliyoyasikia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kwa mfalme wa Yuda, aliyewatuma kumwuliza BWANA, mtamwambia hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi; Kuhusu uliyoyasikia,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kumhusu mfalme wa Yuda, aliyewatuma kutafuta shauri la Mwenyezi-Mungu mwambie kwamba, hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli juu ya maneno uliyoyasikia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mfalme wa Wayuda aliyewatuma kumwuliza Bwana mwambieni haya: Hivi ndivyo, Bwana Mungu wa Isiraeli anavyosema: Kwa kuwa hapo, ulipoyasikia maneno yale,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mfalme wa Yuda, aliyewatuma kumwuliza BWANA, mtamwambia hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi; Kwa habari ya maneno uliyoyasikia,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini juu ya mufalme wa Yuda, aliyewatuma kutafuta shauri la Yawe mumwambie kwamba, hivi ndivyo Yawe, Mungu wa Israeli, anavyosema juu ya maneno uliyoyasikia,