2 Chronicles 34:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alifanya vivyo hivyo katika miji ya Manase, Efraimu, Simeoni mpaka Naftali na kwenye magofu yaliyokuwa kandokando ya miji hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika miji ya Manase, Efraimu na Simeoni, hadi Naftali na kwenye magofu yanayoizunguka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika miji ya Manase, na Efraimu, na Simeoni, mpaka Naftali, akafanya vile vile; na katika maganjo yake pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alifanya vivyo hivyo katika miji ya Manase, Efraimu, Simeoni mpaka Naftali na kwenye magofu yaliyokuwa kandokando ya miji hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika miji ya Manase, Efraimu na Simeoni, hadi Naftali na kwenye magofu yanayoizunguka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika miji ya Manase, Efraimu na Simeoni, hadi Naftali na kwenye magofu yanayoizunguka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika miji ya Manase, Efraimu, na Simeoni, mpaka Naftali, akafanya vile vile; na katika maganjo yake pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alifanya vivyo hivyo katika miji ya Manase, Efraimu, Simeoni mpaka Naftali na kwenye magofu yaliyokuwa kandokando ya miji hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Namo mijini mwa Manase na mwa Efuraimu, hata mwa Nafutali katika mahame yao yaliyokuwapo po pote
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika miji ya Manase, na Efraimu, na Simeoni, mpaka Naftali, akafanya vile vile; na katika maganjo yake pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifanya vile vile katika miji ya Manase, ya Efuraimu, ya Simeoni mpaka ya Nafutali na kwenye mabomoko yaliyokuwa kandokando ya miji hiyo.