2 Chronicles 34:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alizibomoa madhabahu na kupondaponda Maashera na sanamu za kuchongwa zikawa mavumbi. Kadhalika alizikatakata madhabahu za kufukizia ubani katika nchi yote ya Israeli. Hatimaye alirudi Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akavunja madhabahu na nguzo za Ashera na kuzipondaponda hizo sanamu hadi zikawa unga na kukata vipande vipande madhabahu zote za kufukizia uvumba katika nchi ya Israeli yote. Kisha akarudi Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akazibomoa madhabahu, akaponda-ponda maashera na sanamu kuwa mavumbi, akazikata-kata sanamu zote za jua katika nchi yote ya Israeli, kisha akarejea Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alizibomoa madhabahu na kupondaponda Maashera na sanamu za kuchongwa zikawa mavumbi. Kadhalika alizikatakata madhabahu za kufukizia ubani katika nchi yote ya Israeli. Hatimaye alirudi Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akavunja madhabahu na nguzo za Ashera na kuzipondaponda hizo sanamu hadi zikawa unga na kukata vipande vipande madhabahu zote za kufukizia uvumba katika Israeli yote. Kisha akarudi Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akavunja madhabahu na nguzo za Ashera na kuzipondaponda hizo sanamu hadi zikawa unga na kukata vipande vipande madhabahu zote za kufukizia uvumba katika Israeli yote. Kisha akarudi Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akazibomoa madhabahu, akazipondaponda Maashera na sanamu kuwa mavumbi, akazikatakata sanamu zote za jua katika nchi yote ya Israeli, kisha akarejea Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alizibomoa madhabahu na kupondaponda Maashera na sanamu za kuchongwa zikawa mavumbi. Kadhalika alizikatakata madhabahu za kufukizia ubani katika nchi yote ya Israeli. Hatimaye alirudi Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndimo, alimozivunjavunja meza za kutambikia, akaiponda miti ya Ashera navyo vinyago vingine, hata vikawa mavumbi, nayo mifano yote ya jua akaikatakata katika nchi yote ya Isiraeli, kisha akarudi Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akazibomoa madhabahu, akaponda-ponda maashera na sanamu kuwa mavumbi, akazikata-kata sanamu zote za jua katika nchi yote ya Israeli, kisha akarejea Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alibomoa mazabahu na kupondaponda Maashera na sanamu za kuchongwa zikakuwa mavumbi. Vilevile akazikatakata mazabahu za kufukizia ubani katika inchi yote ya Israeli. Kisha akarudi Yerusalema.